Search your image(s)

Winners and Prizes

When you run with us you get a chance to win some prizes.

Year

Tigo na Zantel ni familia moja, hivyo basi yale mazuri yote yaliyokuwepo Tigo, sasa yanaonekana kwenye familia hii kubwa ya Tigo Zantel. Kwa kuzingatia haya, ndio maana tumefanya uamuzi wa kimkakati wa kuwa wadhamini wakuu wa mbio hizi zilizopewa jina la Tigo Zantel Zanzibar International Marathon.

Dhamira yetu ni kuendelea kuleta mabadiliko chanya kwenye sekta ya mawasiliano lakini pia ni wajibu wetu kuendelea kuwekeza kwenye jamii inayotuzunguka na kuhakikisha tunashirikiana na serikali na taasisi nyingine kugusa maisha ya wateja wetu na wananchi moja kwa moja. Ni matumaini yetu udhamini wetu kwenye Tigo Zantel Zanzibar International Marathon unakuwa chachu ya kuleta kumbukumbu chanya kwa wadau wote wa michezo na washiriki.

— CPA. Innocent Rwetabura, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Zantel

Follow us